Liverpool
imeendelea rekodi ya ushindi kwa timu kubwa baada ya Kuitandika Arsenal
jumla ya Magoli 4-0 na kumfanya Kocha Wenger kuwa na msimu mbaya kwani
wiki iliyopita walipoteza tena ugenini kwa kufungwa bao 1-0 na Stoke
City.
Mabao
ya Liverpool yamefungwa na Roberto Firmino dakika ya 17,Sadio Mane
dakika ya 40,Mohamed Salah dakika ya 57 na Daniel Sturridge dakika ya
77.



SHARE








No comments:
Post a Comment