Rais
Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia
Cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya
kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali vya Ikulu jijini Dar es
salaam Januari 20, 2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kushona kwa ustadi wa hali ya juu
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimalizia moja ya nguo za wafanyakazi wa Ikulu.
SHARE
No comments:
Post a Comment