Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Makamu wa Pili wa Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara baada ya kufanya
nae mazungumzo Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ikulu jijini Dar es Salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment