Mkuu
wa mkoa wa Kilimanjaro Mh. Amos Makalla na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi
na usalama Mkoa wamekagua mpaka wa Tanzania na Kenya amekagua alama za
mpaka (mawe) ameridhishwa na hali ya usalama wa mpaka na kuagiza kamati
ya ulinzi na usalama wiilaya kuwa na mikutano ya ujirani mwema Aidha Mkuu wa Mkoa ameshiriki
kuteketeza mitambo 6 ya kutengeneza pombe haramu ya Gongo, lita 140 za
gongo, pipa 33 za maloweko ya gongo Pia amewataka wananchi kuacha unywaji na upikaji gongo.
Baadhi ya mitambo ya kutengeneza pombe haramu ya Gongo,
No comments:
Post a Comment