Amesema kuwa mume wake anaipenda Marekani na ameahidi kuifanya kuwa nchi yenye nguvu kwa mara nyingine
Mke wa
mgombea urais Marekani kupitia chama cha Republican Melania Trump,
ametoa hotuba ya kampeni isiyo ya kawaida kuhusu uchaguzi utakaofanyika
Jumanne ijayo novemba 8.
Akizungumza katika jimbo la Pennsylvania, mke wa Trump alielezea majukumu yake kama mama na historia yake ya uhamiaji.
Trump v Clinton: Nani anaongoza
Amesema kuwa mume wake anaipenda Marekani na ameahidi kuifanya kuwa nchi yenye nguvu kwa mara nyingine.
Melania amesema tuhuma anazopewa mumewe juu ya unyanyasaji kwa wanawake ni uongo
Kwa
upande mwengine Rais Obama amekuwa akiwashawishi wapigakura vijana
katika jimbo la Florida kukiunga mkono chama cha Democtaic na Hillary
Clinton.
Donald Trump aliwahi kuhutubia jimboni hapo, kabla ya kwenda North Carolina.
Bi Clinton pia ataenda kufanya kampeni jimboni hapo.BBC
SHARE








No comments:
Post a Comment