Kaimu
Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Agnes Kuhenga akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati
wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wanne wa Taasisi hiyo ambapo watatu
kati yao wanahamia Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma na mmoja
anahamia Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi
Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi
akiongea na wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga
wafanyakazi wanne wa Taasisi hiyo ambapo watatu kati yao wanahamia
Hospitali ya Benjamini Mkapa iliyopo Dodoma na mmoja anahamia Hospitali
ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili
(MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo Dar es Salaam.
Viongozi
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja
na wafanyakazi wa Taasisi hiyo wanaohamia katika Hospitali ya Benjamin
Mkapa iliyopo Dodoma na Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu cha Tiba
na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila kiliyopo
Dar es Salaammara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kuwaaga
wafanyakazi hao iliyofanyika leo.
Baadhi
ya Maafisa Wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa
katika picha ya pamoja na wenzao wawili wanaohamia katika Hospitali ya
Benjamini Mkapa iliyopo Dodoma na Hospitali ya kufundishia ya Chuo Kikuu
cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila
kiliyopo Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi
akimkabidhi cheti cha shukurani ya kufanya kazi katika Taasisi hiyo
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Robert Mvungi ambaye anahamia katika
Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo mkoani Dodoma.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi
akimkabidhi cheti cha shukurani ya kufanya kazi katika Taasisi hiyo
Afisa Muuguzi Mkuu Salome Kassanga ambaye anahamia katika Hospitali ya
Benjamin Mkapa iliyopo mkoani Dodoma.
SHARE
No comments:
Post a Comment