Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya
Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB) , Dkt
Geraldine Kikwasi akizungumza na Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule
ya Sekondari Majani ya Chai iliyoko wilayani Ilala, jijini Dar es
Salaam wakati wa ziara ya kuwahamasisha Wanafunzi wa kidato cha pili wa
shule hiyo kuwapa elimu kuhusiana na fani mbili za ubunifu majengo
na Wakadriaji Majenzi kwa masomo ya sayansi.
ARCH. Daniel Matondo kutoka Bodi
ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji
Majenzi akiwaelezea Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya Sekondari
Majani ya Chai shughuli mbalimbali zinazofanywa na Bodi ya Usajili wa
Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi katika sekta ya ujenzi.
Mwalimu wa shule ya Sekondari
Majani ya Chai akiwasisitizia wanafunzi kusoma zaidi masomo ya sayansi
wakati wakati wa ziara ya kuwahamasisha Wanafunzi wa kidato cha pili wa
shule hiyo.
Wanafunzi kutoka chuo cha ardhi.
wanayesomea fani ya Wabunifu Majengo wakiwapa elimu wanafunzi kuhusiana
wasomo ya fani ya wabunifu majenge.
Afisa Uhusiano kutoka Bodi ya
Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB) Bw.Hamis
Sungura. akiwatambulisha viongozi wa Bodi.
Wanafunzi wa kidato cha pili wa
shule ya Sekondari Majani ya Chai iliyoko wilayani Ilala, jijini Dar
es Salaam wakifuatilia elimu ya fani mbili ya ubunifu majengo
na Wakadriaji Majenzi kwa masomo ya sayansi.
Viongozi wa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi (AQRB) , wakiwasili katika Shule ya Sekondari Majani
ya Chai iliyoko wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam wakati wa ziara
ya kuhawamasisha Wanafunzi wa kidato cha pili wa shule hiyo kuwapa elimu
kusomea fani mbili za ubunifu majengo na Wakadriaji Majenzi kwa masomo
ya sayansi (mbele kulia) Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa
Wabunifu Majengo na Wakadriaji Majenzi, Dkt Geraldine Kikwasi, katikati
ARCH Daniel Matondo na Kushoto Afisa Uhusiano wa Bodi, Hamis Sungura.
SHARE








No comments:
Post a Comment