• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Tuesday, May 2, 2017

Home > > Clinton: Nalaumu FBI na wadukuzi wa Urusi

Clinton: Nalaumu FBI na wadukuzi wa Urusi

at 11:37 PM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
Aliyekuwa mgombea wa urais nchini Marekani Hillary Clinton amewalaumu wadukuzi wa Urusi na mkurugenzi wa Ujasusi nchini humo kwa kushindwa kwake katika uchaguzi mkuu uliopita.

Aliambia mkutano mjini New York kwamba angeshinda kura hiyo iwapo uchaguzi huo ungefanyika tarehe 20 mwezi Oktoba kabla ya kuchapishwa kwa barua ya mkurugenzi wa FBI James Comey akilielezea bunge la seneti kwamba FBI imeanzisha uchunguzi kuhusu hatua yake ya kutumia barua pepe za binafsi.



 Hillary Clinton amelilamu shirika la FBI na wadukuzi wa Urusi kwa kushindwa kwake katika uchaguzi mkuu 

Alisema kwamba alikuwa amefanya kampeni nzuri na akapoteza kutoka na maswala yaliofanyika katika kipindi cha siku kumi za mwisho.

Anasema kuwa sasa amerudia uanaharakati akisema hatua yake inalenga kuweka upinzani mkali dhidi ya rais Trump ambaye amemkosoa kwa sera zake za kigeni mbali na utumizi wake wa mtandao wa Twitter.
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • Afande Sele na uvutaji bangi
    Afande Sele Aungana Na Mbunge Joseph Msukuma Kuitaka Serikali Ihalalishe Matumizi Ya Bhangi
  • WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR
    Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo akizungumza wakati wa kumpongeza Mshindi wa tatu wa Mbio za Dunia za...
  • HOFU YATANDA ARSENAL KUHUSU THOMAS LEMAR
      Arsenal wanaamini kwamba huenda wakapoteza nafasi ya kumnunua mchezaji ambaye wamekuwa wakimtafuta sana, Thomas Lemar wa klabu ya Monac...

Popular Posts

  • Afande Sele na uvutaji bangi
    Afande Sele Aungana Na Mbunge Joseph Msukuma Kuitaka Serikali Ihalalishe Matumizi Ya Bhangi
  • WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR
    WANARIADHA WAPONGEZWA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA JIJINI DAR
    Mkuu wa Jeshi la Kujenga taifa, Meja jenerali, Michael Isamuhyo akizungumza wakati wa kumpongeza Mshindi wa tatu wa Mbio za Dunia za...
  • HOFU YATANDA ARSENAL KUHUSU THOMAS LEMAR
    HOFU YATANDA ARSENAL KUHUSU THOMAS LEMAR
      Arsenal wanaamini kwamba huenda wakapoteza nafasi ya kumnunua mchezaji ambaye wamekuwa wakimtafuta sana, Thomas Lemar wa klabu ya Monac...
  • Dalili tano za wanawake wanaochepuka |
    ...
  • Polisi, Jaji Mkuu watoa ONYO mgomo wa mawaikili nchini
    Polisi, Jaji Mkuu watoa ONYO mgomo wa mawaikili nchini
    Kaimu  Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma na Jeshi la Polisi nchini, wamelionya Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili wa...
  • MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ALIPOTEMBELEA BANDA LA ASAS KWENYE MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA KILWA ROAD JIJINI DAR ES SALAAM
    MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ALIPOTEMBELEA BANDA LA ASAS KWENYE MAONESHO YA BIASHARA YA SABASABA KILWA ROAD JIJINI DAR ES SALAAM
    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye banda la bidhaa zitokanazo na maziwa ...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger