Aliyekuwa
katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Dkt. Willibrod Slaa
amesema hana mpango wa kurudi Tanzania kwa sasa na kwamba taarifa
zinazosabazwa hazina ukweli wowote.
Slaa
alijiuzulu ukatibu mkuu CHADEMA na siasa za vyama baada ya CDM
kumpokea Edward Lowassa na kumpa nafasi ya kuwakilisha chama hicho
katika uchaguzi wa urais 2015
SHARE








No comments:
Post a Comment