Mkataba wa mradi wa Bomba la Mafuta
kati ya Serikali ya Tanzania na Uganda (Intergovernmental Agreement-
IGA) umesainiwa leo tarehe 26 Mei 2017 katika Hotel ya Serena Jijini
Kampala, Uganda. Tanzania imewakilishwa na Waziri wa Sheria na Katiba
Profesa Paramagamba Kabudi na Uganda ni Waziri wa Nishati wa nchi hiyo
Engineer Irene Nafuna Muloni.
SHARE
No comments:
Post a Comment