TRA

TRA

Saturday, May 20, 2017

Rais Hassan Rouhani ashinda achaguzi wa rais Iran

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Wizara ya mambo ya ndani ya ndani ya Iran imemtangaza Rais Hassan Rouhani kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais kwa kumshinda mpizani wake wa msimamo mkali Ebrahim Rais.
Wizara ya mambo ya ndani ya ndani ya Iran imemtangaza Rais Hassan Rouhani kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais kwa kumshinda mpizani wake wa msimamo mkali Ebrahim Rais kwa kujitzolea zaidi ya kura milioni 22 dhidi ya zadi ya miloni 15.
Rouhani mwenye umri wa miaka 68 mwanamageuzi aliyeiongoza nchi yake kufikia makubaliano ya kihistoria na nchi sita zenye nguvu zaidi duniani kuhusu mpango wake wa kinyuklia ameshinda uchaguzi huo uliofaniyka hapo jana kwa asilimia 57 ya kura.
Amemshinda mpinzani wake mkuu Ebrahim Raisi ambaye alikuwa anaungwa mkono na baraza lenye ushawishi mkubwa la masheikh wa kiislamu wasiochaguliwa kupitia chaguzi. Uchaguzi huo umetajwa kama kura ya maoni ya kupima utendaji wa Rouhani kuhusu juhudi zake za kuifungulia fursa nchi yake kwa mataifa ya magharibi. Kituo cha televisheni cha Iran kimempongeza Rouhani kwa ushindi huo unaombakisha madarakani.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger