TRA

TRA

Monday, May 8, 2017

UZINDUZI WA UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 MKOANI MWANZA WAFANA.

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akizungumza ijumaa wiki iliyopita wakati wa uzinduzi wa michuano ya Copa Coca-cola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Meneja Mkuu wa Masoko Nyanza Bottling Co. Ltd Mwanza, Deus Kadico akizungumza wakati wa uzinduzi wa michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jiji ni Mwishoni mwa wiki.
Afisa Msaidizi wa Masoko wa kampuni ya Coca Cola nchini, Pamela Lugenge akizungumza wakati wa uzinduzi wa michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini mwishoni mwa wiki.
Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akikabidhi vifaa vya michezo kwa baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Bugogwa baada ya kuzindua michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Mkurugenzi wa Nyanza Bottling, Christopher Gachuma na wa pili kushoto ni Afisa Msaidizi wa Masoko wa kampuni hiyo nchini, Pamela Lugenge.

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akikagua timu ya mpira wa miguu ya Nyamagana baada ya kuzindua michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Afisa Msaidizi wa Masoko wa kampuni hiyo nchini, Pamela Lugenge akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Nyanza Bottling, Christopher Gachuma wakati wa hafla hiyo

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger