Meneja
Chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (Kulia) akishiriki kufanya
usafi katika soko la Samaki la Kunduchi ikiwa ni moja ya hatua ya
uwajibikaji wa Kampuni hiyo kwa jamii katika kuweka mazingira yao safi
na salama. Zeozi hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam
ambapo kampuni hiyo ilikabidhi pia vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi
wa soko hilo ili kuendeleza utamaduni huo.
Wafanyakazi
wa Kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakishiriki kufanya usafi katika
soko la Samaki la Kunduchi ikiwa ni moja ya hatua ya uwajibikaji wa
Kampuni hiyo kwa jamii katika kuweka mazingira yao safi na salama. Zeozi
hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam ambapo kampuni
hiyo ilikabidhi pia vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko hilo
ili kuendeleza utamaduni huo.

Chapa na Mawasiliano Zantel, Rukia Mtingwa (mwenye kofia nyeusi kulia)
na Meneja Mwajiri Zantel, Frank Jackson (mwenye kofia nyeusi kushoto)
wakikabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko la Samaki la
Kunduchi mara baada ya wafanyakazi wa Zantel kumaliza zoezi la kufanya
usafi katika soko hilo mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam. Zoezi
hilo ni moja ya hatua ya uwajibikaji wa Kampuni hiyo kwa jamii katika
kuweka mazingira safi na salama ambapo kampuni hiyo iliwataka wadau hao
kuendeleza utamaduni huo.
SHARE

No comments:
Post a Comment