• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Monday, May 22, 2017

Home > > Watu 922,000 walihama makwao mwaka 2016 nchini DRC

Watu 922,000 walihama makwao mwaka 2016 nchini DRC

at 4:57 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



    Idadi ya watu waliolazimika kuhama makwao kutokana na mzozo ndani ya Jamhuri ya Demokrasi ya Congo mwaka uliopita, ilikuwa ni ya juu kuliko idadi ya watu waliohama makwao nchini Syia na Iraq.

     Watu 922,000 walihama makwao mwaka 2016 nchini DRC 

    Jamhuri ya Demokrasi ya Congo ilishuhudia ongezeko la watu 922,000 waliohama kutokana na mzozo mwaka uliopita, ikilinganishwa na watu 824,000 waliohama nchini Syria na 659,000 nchini Iraq.
    • Waasi wa M23 waingia DRC
    • Maafisa wa UN waliotekwa DRC waachiliwa huru
    • Mhubiri kutoka DRC apewa hifadhi Afrika Kusini
    • Badibanga atangazwa kuwa waziri mkuu DRC
    Watafiti kutoka baraza ya wakimbizi nchini Norway NRC walihesabu zaidi ya watu 922,000 ambao walilazimika kukimbia makwao ndani mwa DRC mwaka 2016.
    Katibu mkuu wa NRC Jan Egeland aliiambia BBC kuwa ni jambo la kushangaza kuwa sio Syria au Iraq zilizo na wahamiaji wengi.

    CHANZO: BBC
    Unknown

    Author: Unknown

    SHARE
    • Share
    • Tweet
    • Share
    • Pin
    • Share
    «
    Next
    Newer Post
    »
    Previous
    Older Post
    Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

    No comments:

    Post a Comment

    Newer Post Older Post Home
    Subscribe to: Post Comments (Atom)

    Tupate kupitia Facebook

    Popular Posts

    • MKUU WA MKOA MARA WAANDISHI MKO SALAMA FANYENI KAZI KWA WELEDI.
      Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa akiongea na waanadishi wa Habari Mkoa wa Mara katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyom...
    • JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI(EAC)YAWAANDALIA HAFLA FUPI WAFANYAKAZI WAPYA JIJINI ARUSHA
        Baadhi ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakiwa na furaha  katika hafla ya kuwaka...
    • Njiwa aliyetumiwa kusafirisha mihadarati
        Maafisa waligundua ...

    Popular Posts

    • MKUU WA MKOA MARA WAANDISHI MKO SALAMA FANYENI KAZI KWA WELEDI.
      MKUU WA MKOA MARA WAANDISHI MKO SALAMA FANYENI KAZI KWA WELEDI.
      Mkuu wa Mkoa wa Mara Dkt Charles Mlingwa akiongea na waanadishi wa Habari Mkoa wa Mara katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyom...
    • JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI(EAC)YAWAANDALIA HAFLA FUPI WAFANYAKAZI WAPYA JIJINI ARUSHA
      JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI(EAC)YAWAANDALIA HAFLA FUPI WAFANYAKAZI WAPYA JIJINI ARUSHA
        Baadhi ya wafanyakazi wapya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) wakiwa na furaha  katika hafla ya kuwaka...
    • Njiwa aliyetumiwa kusafirisha mihadarati
      Njiwa aliyetumiwa kusafirisha mihadarati
        Maafisa waligundua ...
    • MAGHEMBE APONGEZA OPERESHENI YA KUONDOA MIFUGO HIFADHINI MKOANI KAGERA
      MAGHEMBE APONGEZA OPERESHENI YA KUONDOA MIFUGO HIFADHINI MKOANI KAGERA
      Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe (wa pili kushoto) akisalimiana na Viongozi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa...
    • FULL TIME: SERENGETI BOYS 3 vs 0 BURUNDI U-17
      FULL TIME: SERENGETI BOYS 3 vs 0 BURUNDI U-17
      Na Faustine Ruta, Bukoba Timu ya Vijana U17 ya Burudi leo kwenye uwanja wa Kaitaba imeanza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki ...
    • Rais wa Palestina akata mawasiliano na Israel
      Rais wa Palestina akata mawasiliano na Israel
        Rais wa Palestinia, Mahmoud Abbas amekata mawasiliano na serikali ya Israel hivyo kuzidisha mzozo ambao umekuwa ukitokota wiki nzima...

    Pages

    • Home
    • About Us
    • Contat Us
     
    Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
    Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger