Rais
Magufuli amemuapisha Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Mama
Mghwira alikuwa ni Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo na alikuwa mgombea
Urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Mghwira ameapishwa
leo na tayari amekabidhiwa ilani ya CCM. Chini ni picha mbalimbali wakati wa
kuapishwa kwake Ikulu jiji Dar es Salaam.
Hapa akikabidhiwa
ilani rasmi ya CCM
SHARE
No comments:
Post a Comment