• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Wednesday, July 5, 2017

Home > > David Beckham ajitetea kwa kumpiga busu mwanawe

David Beckham ajitetea kwa kumpiga busu mwanawe

at 5:26 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


 
David Beckham akimpiga busu mwanawe wa kike mwenye umri wa miaka mitano mdomoni.

Nyota huyo wa zamani wa klabu ya Manchester United alikosolewa kwa kuchapisha picha akimpiga busu la mdomoni mwanawe wa kike Harper katika mtandao wa Instagram.

Akizungumza katika mahojiano ya moja kwa moja kupitia mtandao wa facebook, Beckham alisema kuwa ''tunataka kuwaonyesha wana wetu mapenzi''.

Mkewe David Beckham, Victoria pia alikosolewa kwa kuchapisha picha akimpiga busu mdomoni mtoto huyo wa kike mwaka uliopita
 
''Nilikosolewa kwa kumpiga busu mwanangu mwaka uliopita'',alisema. ''Pengine siwezi kumfanyia hivyo Brooklyn mwenye umri wa miaka 18 kwa kuwa ataona kama swala la kushangaza.Lakini nina mapenzi tele na wanangu''.

''Hivyo ndivyo nilivyolewa na Victoria na hivyo ndivyo tulivyo na watoto wetu''.

David Beckham, akimpiga busu mwanawe wa kike mwenye umri wa miaka mitano mdomoni

''Tunataka kuwaonyesha watoto wetu mapenzi na kuwalinda, kuwaangalia na kuwasaidia na unajua tuna mapenzi tele nao''.
Nyota wa filamu kutoka nchini Marekani Hilary Duff pia alipokea matusi mwaka uliopita baada ya kupigwa picha akimpiga busu mwanawe wa kiume katika eneo la Disneyland California. 

Kulikuwa na ujumbe uliomkosoa chini ya picha hiyo, lakini akijibu katika mtandao wa Instagram ,Hillary alitetea hatua yake ya kumpiga busu mwanawe.
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • MENGI USIYOYAJUA KUHUSU MNYAMA TWIGA.
    Alichoandika Moses Ngw'at kuhusu mnyama Twiga TWIGA ni miongoni mwa wanyama wenye mvuto mkubwa kutokana na uzuri na mambo kadhaa ...
  • Watanzania wahimizwa kujiunga na mtandao wa mitaji
    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustine Kamuzora amewataka wafanyabiashara nchini kuhamasika kujiunga na mtandao wa ...
  • NAPE: Nitahakikisha Timu za Dodoma zinacheza Ligi Kuu.
    Na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amewahakikishia wapenzi wa M...

Popular Posts

  • MENGI USIYOYAJUA KUHUSU MNYAMA TWIGA.
    MENGI USIYOYAJUA KUHUSU MNYAMA TWIGA.
    Alichoandika Moses Ngw'at kuhusu mnyama Twiga TWIGA ni miongoni mwa wanyama wenye mvuto mkubwa kutokana na uzuri na mambo kadhaa ...
  • Watanzania wahimizwa kujiunga na mtandao wa mitaji
    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Prof. Faustine Kamuzora amewataka wafanyabiashara nchini kuhamasika kujiunga na mtandao wa ...
  • NAPE: Nitahakikisha Timu za Dodoma zinacheza Ligi Kuu.
    NAPE: Nitahakikisha Timu za Dodoma zinacheza Ligi Kuu.
    Na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye amewahakikishia wapenzi wa M...
  • Bodi mpya ya MAMLAKA YA NGORONGORO YATANGAZWA
    Bodi mpya ya MAMLAKA YA NGORONGORO YATANGAZWA
      PROFESA JUMANNE MAGHEMBE JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII UTEUZI WA WAJUMBE WA B...
  • ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA GIHANDU AJIUZULU
    ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA GIHANDU AJIUZULU
      Na Jumbe Ismailly -HANANG .  ALIYEKUWA diwani wa kata ya Gihandu,wilayani Hanang,Mkoani Manyara kwa tiketi ya Chama c...
  • Shirika la TTCL lazinduwa ‘Fiber Connect Bundle’
    Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Corporation, Bw. Waz...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger