Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametangaza hali ya hatari kaskazini magharibi mwa nchi.
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir ametangaza hali ya hatari kaskazini magharibi mwa nchi.
Tahadhari hiyo inatarajiwa kusalia kwa kipindi cha miaka mitatu.
Mzozo wa Sudan Kusini umesababisha vifo vya maelfu ya watu na kuwalazimu wengine zaidi ya milioni mbili kuhama makwao tangu mwaka 2013.
- Wanajeshi washtakiwa, Sudan kusini
- Sudan Kusini yaua raia wake
- Machar aapa kurejea Sudan Kusini
- Sudan Kusini yaonywa kukumbwa na maafa
Msukosuko unashuhudiwa pande zote na mapigano yamesambaa hadi mashariki mwa nchi.
Umoja wa Matiafa unasema kuwa maelfu ya raia wamekimbia mji wa Pagak na maeneo yaliyo karibu, na kuvuka mpaka kuingia Ethiopia. Watoa misaada nao pia wamelazimika kuhama.
SHARE









No comments:
Post a Comment