TRA

TRA

Saturday, July 8, 2017

MAONESHO YA SABASABA: SSRA YASOGEZA HUDUMA KARIBU KWA WADAU

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 
SA1
Afisa Utafiti na Sera kutoka SSRA, Mashala Bukalasa akifanunua baadhi ya masuala kuhusu Hifadhi ya jamii wakati wa Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa ( Sabasaba) yanayoendelea kwenye Viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es Salaam
SA2
Afisa Uhusiano na Uhamashishaji kutoka SSRA, Bw. Ally Masaninga akitoa elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wadau waliotembelea banda la Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) kwenye Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ( Sabasaba)
SA3
Maafisa wa SSRA Bw. David Lyanga na Imani Masebu wakijibu hoja mbalimbali za wadau waliotembelea banda la PSPF wakati wa Maonesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam
SA4
Afisa Mwandamizi wa Huduma za Sheria kutoka SSRA, Bw. Omary Halfan akisikiliza kwa makini hoja za mmoja wa wadau wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii alietembelea Banda la NSSF kwenye Maonesho ya Sabasaba
SA6
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Usimamizi wa Rasilimali Watu kutoka SSRA Bw. Mohamed Nyasama akibadilishana mawazo ya maafisa kutoka na SSRA na GEPF alipotembelea banda la GEPF kwenye Maonesho ya Sabasaba
SA7
Bw. Frank Kilimba ambae ni Afisa Mwandamizi wa Matekelezo kutoka SSRA akisikiliza hoja za wadau wa Hifadhi ya Jamii kwenye Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Jijini Dar es Salaam

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger