Mapema Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Nikki Haley alisema muda wa mazungumzo umemalizika.
Waziri Mkuu wa Japan Shinzo
Abe anasema yeye pamoja na rais wa Marekani Donald Trump wamekubaliana
kuwa upo umuhimu wa kupambana na Korea ya Kaskazini katika mipango yake
ya majaribio ya makombora.
Marekani imesema kuwa mtambo wake wa kuangusha makombora wa Thaad umefanikiwa
Mapema Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Nikki Haley alisema muda wa mazungumzo umemalizika.
Haley amesema hakuna sababu ya kuwa na kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa iwapo hakutakuwa na matokeo, yatakayoipa mbinyo Korea Kaskazini na China ni lazima iamue kama itaamua kuchukua hatua hii muhimu.
Hatua hiyo imekuja baada ya Korea kaskazini kufanya jaribio lingine la makombora yake siku ya Ijumaa.
CHANZO: BBC
SHARE









No comments:
Post a Comment