![]() |
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serika za Mitaa LAPF,. Eliudi Sanga
akimsikiliza Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa
Serikali za Mitaa LAPF, James Mlowe wakati
alipotembelea katika banda hilo kutoka kulia ni Rehema Mkamba Afisa
Mawasiliano Mwandamizi LAPF na wa pili ni Varerian Mablanketi Mkrugenzi
wa Huduma kwa wanachama LAPF.
|
![]() |
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga,
Varerian Mablanketi Mkurugenzi wa Huduma kwa wanachama LAPF na Meneja
Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. James Mlowe wakijadiliana mambo kadhaa huku wakifuatilia huduma mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na wafanyakazi wa mfuko katika banda hilo.
|
![]() |
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea banda hilo.
|
![]() |
Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa LAPF Bw. Eliudi Sanga
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea banda hilo.
|
![]() |
Baadhi ya wananchi waliofika katika banda hilo wakiendelea kupata huduma kutoka kwa wafanyakazi wa mfuko huo.
|
![]() |
Baadhi
ya wananchi waliofika katika banda hilo wakiendelea kupata huduma
kutoka kwa wafanyakazi wa mfuko huo.(Picha zote kwa Hisani ya
Fullshangwe Blog)
|
SHARE
















No comments:
Post a Comment