Kampuni
ya Udalali ya Msama Auction Mart ikishirikiana na Mamlaka ya Mapato
Tanzania (TRA),sambamba na Wizara ya Habari,Utamaduni Sanaa na
Michezo,wanatarajia kuanzisha msako mkali kwa wale wote wanaofanya
biashara ya uharamia wa kazi za Wasanii hapa nchini.
Akizungumza
na Waandishi wa habari mapema jana jijini Dar,Mkurugenzi wa Msama
Auction Mart,Alex Msama alisema kuwa tayari wameishapata kibali na
kupewa baraka zote za kuifanya kazi hiyo,ya kuhakikisha wizi/uharamia wa
kazi za Wasanii unapungua ama kufika kikomo kabisa.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiFhr7G3fKPkNTpYABVXfrPM-KCSRKj2t6mIHfc1-oS2zgr2uouNJf0-78W60gXRE2I7_F1kWYrGC1_1ejrSNdDldHn3fV2yLyMZ4bDK2N9I69bgSVWpBIJkOGI03zPSCPo2FHjSITXcEo/s320/2.jpg)
Amesema
kuwa Wasanii wameibiwa vya kutosha,ifike mahali nao sasa wanufaike na
jasho la kazi yao,na si kumnufaisha mtu mwingine,alisema na kuongeza
kuwa Wasanii wamekuwa wakilalamika muda mrefu kuhusiana na hili jambo la
kuibiwa kazi zao na kusambazwa hovyo hovyo bila utaratibu wa aina
yoyote,wao kama kampuni watalibeba jukumu hilo huku wakiamini
ushirikiano ndio jambo kubwa la kuifanikisha kazi hiyo yenye changamoto
kubwa.
“Tunawaomba
wasanii mbalimbali na Wadau wa sanaa ya Muziki,watuunge mkono ikiwemo
na kutupa ushirikiano wa taarifa,zikihusu maeneo yoyote ambako uharamia
wa kazi zao unafanyika,nasi tutachukua hatua za haraka na kuwakamata
wahusika”alisema Msema.
Msama
alimaliza kuwa kuwapa tahadhari ya mapema kwa wale wote wanaouza kazi
wasanii kinyume cha sheria,hasa katika vituo vya mabasi,nyumbani,kwenye
Maduka ya biashara waache mara moja,wakipuuza wajue kabisa kiama chao
kimefika.
SHULE YA FEZA YAFANYA
KWELI MATOKEO KIDATO CHA SITA Wanafunzi Frncis Thomas aliyemaliza Kidato
cha Sita katika Shule ya Wavuana Feza ya Dr es Salaam, akiwa amebebwa
na wanafunzi wenzie baada ya kuibuka Mwanafunzi bora kitaifa katika
masomo ya Sanaa na Biashara atika matokeo yaliyotangazwa na Baraza la
Mitihani la Taifa juzi. (NA MPIGAPICHA MAALUMU) Wanafunzi wa Shule ya
Sekodari Feza, waliofanya vizuri kuwemo kenye kumi bora kitaifa,
Kabhabhira Bakuru (kulia) na Atuganile Cairo wakiwa na furaha baada ya
kupata tarifa ya matkeo hayo Dar es Salaam .(NA MPIGAPICHA MAALUMU)
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
SHULE YA FEZA YAFANYA
KWELI MATOKEO KIDATO CHA SITA
Wanafunzi Frncis Thomas aliyemaliza Kidato cha Sita katika Shule ya
Wavuana Feza ya Dr es Salaam, akiwa amebebwa na wanafunzi wenzie baada
ya kuibuka Mwanafunzi bora kitaifa katika masomo ya Sanaa na Biashara
atika matokeo yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa juzi. (NA
MPIGAPICHA MAALUMU)
Wanafunzi wa Shule ya Sekodari Feza, waliofanya vizuri kuwemo kenye kumi
bora kitaifa, Kabhabhira Bakuru (kulia) na Atuganile Cairo wakiwa na
furaha baada ya kupata tarifa ya matkeo hayo Dar es Salaam .(NA

Home
Post
Magazeti
Makala
Matangazo
4x4
RAIS MAGUFULI NA MKEWE JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI
KATIKA PAROKIA BIKIRA MARIA CHATO
Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
pamoja na mke wake Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa ibada
ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato
Mkoani Geita, leo julai 16, 2017. Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mkewe Janeth Magufuli
wakisikiliza mahubiri toka kwa Padri Henry Mulinganisa wakati wa ibada
ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato...
Read More
SHULE YA FEZA YAFANYA KWELI MATOKEO KIDATO CHA SITA

MPIGAPICHA MAALUMU) Wanafunzi wa Shule ya Sekodari Feza, waliofanya
vizuri kuwemo kenye kumi bora kitaifa, Kabhabhira Bakuru (kulia) na
Atuganile Cairo wakiwa na furaha baada ya kupata tarifa ya matkeo hayo
Dar es Salaam...

Ujenzi wa Barabara ya Ipembe-Msongole Kuanza Mwezi Juni Mwaka huu.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani
(Kulia) akipata maeleozo ya mtandao wa ramani ya barabara za Mkoa wa
Songwe kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa
wakati wa ziara yake ya kukagua barabara ya Ipemba hadi Msongole
wilayani Ileje (50.3KM). Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Eng. Edwin Ngonyani (Kulia) akitoa maelekezo kwa kaimu Meneja wa Wakala
wa barabara nchini (TANROADS)Mkoa wa Songwe Eng. Yona Kasaini (Kulia)
alipokagua barabara...
Read More
Treni ya kitalii Rovos Rail yawasili Dar es Salaam na watalii 65
KUWASILI kwa watalii 65 kwa treni inayoshikilia nafasi ya pili kwa
ufahari duniani Rovos Rail, kumeendelea kuiweka Tanzania katika ramani
nzuri kama sehemu salama kwa utalii na mapumziko. Akizungumza wakati wa
mapokezi hayo katika kituo cha TAZARA jijini hapa, Mkurugenzi Mtendaji
wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Bibi Devota Mdachi amesema fursa kama
hizo zinapojtokeza ni wakati wao kuonyesha ukarimu wa watanzania. “Sisi
ndio wenyeji wao lazima tuonyeshe hawakukosea kuchagua kuja Tanzania,
hivyo nawaasa wananchi kuwapa mapokezi mazuri...
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
Cheap Offers: http://bit.ly/gadgets_cheap
SHARE
No comments:
Post a Comment