• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Wednesday, July 5, 2017

Home > > Volvo kuanza kuunda magari yanayotumia umeme ufikapo mwaka 2019

Volvo kuanza kuunda magari yanayotumia umeme ufikapo mwaka 2019

at 6:45 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

    Kampuni ya kuunda magari ya Volvo imesema kuwa magari yake mapya yatakuwa yanatumia umeme kuanzia mwaka 2019.

    Kampuni hiyo ya kichina imekuwa kampuni ya kwanza ya zamani iliyoanza kusitisha uundaji wa magari ya zamani yanayotumia mafuta.

    Ina mipango ya kuzindua aina tano ya magari yanayotumia umeme kati ya mwaka 2019 na 2021 na mengine yanayotumia umeme na mafuta.
     Gari la Volvo kwenyr maonyesho China

    Lakini pia itakuwa ikiunda magari ya zamani yanayotuumia mafuta.
    • Uber teksi kuzindua magari yanayojiendesha
    • Volvo yashindwa kuongoza kimauzo Sweden
    • Jinsi magari yasiyo na dereva hukanganywa na kangaroo.
    • Uber yaondoa magari yanayojiendesha barabarani
    Volvo ina mipango ya kuuza magari milioni moja yanayotumia umeme ifikapo mwaka 2025.

    "Tangazo hili liaadhimisha mwanzo wa misho wa injini za zinazotumia mafuta," amesema Hakan Samuelsson, mkurugenzi mkuu wa kitengo cha kuunda magari ya Volvo.

    Hii ni baada ya kampuni ya Marekani ya Tesla kutangaza Jumapili kuwa itaanza kuuza magari yake yanayotumia umeme ya Model 3 ifikapo mishoni mwa mwezi huu.

    Elon Musk, mwanzilishi wa Tesla alifanikiwa kuunda magari 20,000 ya Model 3 kila mwezi hadi Disemba iliyopita.
    Unknown

    Author: Unknown

    SHARE
    • Share
    • Tweet
    • Share
    • Pin
    • Share
    «
    Next
    Newer Post
    »
    Previous
    Older Post
    Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

    No comments:

    Post a Comment

    Newer Post Older Post Home
    Subscribe to: Post Comments (Atom)

    Tupate kupitia Facebook

    Popular Posts

    • Dalili tano za wanawake wanaochepuka |
      ...
    • UVUNAJI WA MAZAO YA MISITU UZINGATIE SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA NCHI
        N A BEATRICE LYIMO- MAELEZO RASILIMALI ya misitu ina umuhimu mkubwa katika suala la uhifadhi wa mazingira na takribani as...
    • MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, SAID MECKY SADICK NA MAJAJI WAWILI WAJIUZULU. RAIS MAGUFULI ARIDHIA
         

    Popular Posts

    • Dalili tano za wanawake wanaochepuka |
      ...
    • UVUNAJI WA MAZAO YA MISITU UZINGATIE SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA NCHI
      UVUNAJI WA MAZAO YA MISITU UZINGATIE SHERIA, KANUNI NA TARATIBU ZA NCHI
        N A BEATRICE LYIMO- MAELEZO RASILIMALI ya misitu ina umuhimu mkubwa katika suala la uhifadhi wa mazingira na takribani as...
    • MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, SAID MECKY SADICK NA MAJAJI WAWILI WAJIUZULU. RAIS MAGUFULI ARIDHIA
      MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, SAID MECKY SADICK NA MAJAJI WAWILI WAJIUZULU. RAIS MAGUFULI ARIDHIA
         
    • FULL TIME: SERENGETI BOYS 3 vs 0 BURUNDI U-17
      FULL TIME: SERENGETI BOYS 3 vs 0 BURUNDI U-17
      Na Faustine Ruta, Bukoba Timu ya Vijana U17 ya Burudi leo kwenye uwanja wa Kaitaba imeanza mchezo wake wa kwanza wa kirafiki ...
    • MSANII DIAMOND PLATINUMZ AZINDUA LEBO YAKE YA WBC NA KUSAINI NA MKATABA NA MSANII RICH MAVOKO.
      MSANII DIAMOND PLATINUMZ AZINDUA LEBO YAKE YA WBC NA KUSAINI NA MKATABA NA MSANII RICH MAVOKO.
        Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Diamond Platnumz (wa pili kushoto) akiwatangaza wasanii wanaosimamiwa na lebo ya ‘WCB Record L...
    • H.E. Mama Salma Kikwete reaffirms her commitment to work with George W. Bush Institute to fight Reproductive Health Cancers
      ……………………………………………………………………………………………………….. H.E. Mama Salma Kikwete earlier today met with Ms. Natalie G...

    Pages

    • Home
    • About Us
    • Contat Us
     
    Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
    Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger