Watu kadhaa waokolewa baada ya magari ya angani kugongana
Watu kadhaa wamekwama hewani baada ya gari la angani la kutumia nyaya
kugonga nguzo na kusimama juu wa mto Rhine nchini Ujerumani.
Picha zilionyesha watoto wakishushwa ardhini lakini hakuna majeruhi walioripotiwa. Magari yote 32 yaliyokuwa yakihudumu wakati huo yalisimama wakati ajali ilitokea.
Wazima moto na makundi ya waokoaji mjini Cologne walitumia kreni kuwafikia abiria 75 waliokuwa wamekwama.
CHANZO:BBC
SHARE











No comments:
Post a Comment