TRA

TRA

Friday, August 4, 2017

Mtoto wa miaka 10 aendesha ndege, marubani watimuliwa

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
Serikali nchini Algeria, imewafukuzwa kazi marubani wawili wanaofanya kazi katika shirika la ndege la serikali baada ya kumruhusu mtoto wa miaka 10 kuendesha ndege.
Mtoto huyo anayedaiwa kuwa ni yatima alikuwa akiendesha ndege aina ya Air Algerie, iliyokuwa na abiria ndani na ilifanya safari zake katika mji wa Algiers hadi Setif.

Zoezi la mtoto huyo kuendesha ndege lilifadhiliwa na kurekodiwa kituo cha El Bilad TV, ambapo walionyesha tukio zima huku kijana huyo akiwa amevalia sare za rubani.
Baada ya video na picha kusambaa za kijana huyo akiongoza ndege, ndipo serikali ilichukua hatua ya kuwafukuzwa kazi marubani hao mnamo Julai 29 mwaka huu.

Author:

«
Next
Unajua kazi ya paspoti ni ipi? Uhamiaji ina majibu mazuri
»
Previous
Maagizo Mazito Polisi Kitengo cha Dawa za Kulevya

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger