• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Tuesday, August 22, 2017

Home > > Watoto wazidi kutumiwa na Boko Haram

Watoto wazidi kutumiwa na Boko Haram

at 11:24 PM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 
Kumekuwa na ongezeko kwa idadi ya watoto wanaotuimiwa kama washambuliaji wa kujitolea mhanga na wanamgambo wa Boko Haram, kaskazini mashariki mwa Nigeria, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF), linasema kuwa tayari visa 83 vimeripotiwa mwaka huu, mara nne zaidi ya vile vya mwaka wote wa 2016.

55 kati yao walikuwa ni wasichana walio na umri chini ya miaka 15 na kwenye kisa kimoja, bomu lilifungwa kwa mtot ambaye alikuwa amebewa na msichana mdogo.
 
  • Watoto wachanga watumiwa na Boko Haram
  • Nigeria: Watoto watekeleza shambulio
  • UN yaonya watoto kutumiwa na Boko Haram
Unicef inasema mbinu hii imezua hofu kwa watoto wanaoachiliwa na Boko Haram.

Kulingana na Umoja wa Mataifa, watoto 127 wametumiwa kama walipuaji kaskazini mashariki mwa Nigeria tangu mwaka 2014.

Wanamgambo wa Boko Haram mara kwa mara wamewatumia watoto, na wamewateka mamia ya wasichana wa shule na kuwalazimisha watoto wavulana kujiunga na jeshi lao.

CHANZO: BBC
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • Vyuo vikuu bora zaidi duniani mwaka 2017
    ...
  • Yai kwa siku inaonekana kusaidia watoto wadogo kuongeza kimo
    Kula yai kwa siku kunaweza kuwasaidia watoto wadogo wenye utapiamlo kuongeza urefu kulingana na utafiti wa miezi sita huko Ecuador. ...
  • RIPOTI: HOTELI ZA NYOTA MBILI NA TATU HUPENDELEWA ZAIDI NA WATEJA
    Na Jumia Travel Tanzania Je ushawahi kupanga kwamba unataka kwenda kulala kwenye hoteli ya nyota ngapi? Ni vigezo gani ambavyo huwa unavit...

Popular Posts

  • Vyuo vikuu bora zaidi duniani mwaka 2017
    Vyuo vikuu bora zaidi duniani mwaka 2017
    ...
  • Yai kwa siku inaonekana kusaidia watoto wadogo kuongeza kimo
    Yai kwa siku inaonekana kusaidia watoto wadogo kuongeza kimo
    Kula yai kwa siku kunaweza kuwasaidia watoto wadogo wenye utapiamlo kuongeza urefu kulingana na utafiti wa miezi sita huko Ecuador. ...
  • RIPOTI: HOTELI ZA NYOTA MBILI NA TATU HUPENDELEWA ZAIDI NA WATEJA
    RIPOTI: HOTELI ZA NYOTA MBILI NA TATU HUPENDELEWA ZAIDI NA WATEJA
    Na Jumia Travel Tanzania Je ushawahi kupanga kwamba unataka kwenda kulala kwenye hoteli ya nyota ngapi? Ni vigezo gani ambavyo huwa unavit...
  • WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI
    WAKANDARASI NCHINI WAKABILIWA NA CHANGAMOTO MBALIMBALI
      Picha ikimuonyesha Mkandarasi kutoka Kampuni ya Caberisa Co.Ltd Bernad Mgohamwende ambaye anajenga barabara kw...
  • TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI WA WANAFUNZI WA ASTASHAHADA NA STASHADA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018
    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI WA WANAFUNZI WA ASTASHAHADA NA STASHADA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018
    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa sheria ya Baraza la Taifa la Elimu y...
  • RAY C AKANUSHA KURUDIA KUTUMIA UNGA ‘ASEMA ATAPAMBANA NAO MAHAKAMANI
    RAY C AKANUSHA KURUDIA KUTUMIA UNGA ‘ASEMA ATAPAMBANA NAO MAHAKAMANI
    Ray C amekanusha tetesi zilizoanza kuenea kuwa amerejea tena kwenye matumizi ya madawa ya kulevya. Hivi karibuni magazeti ya u...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger