Bondia Anthony Joshua baada ya kumpiga kwa Knock Out
bondia Wladimir Klitschko wa Ukraine katika uwanja wa Wembley usiku wa
April 29 2017 katika round ya 11 pambano lenye round 12, anarudi tena
ulingoni Oktoba 28, 2017 mwaka huu kucheza pambano lake la 20 dhidi ya
bondia kutoka Bulgaria, Kubra Pulev.
Anthony Joshua Anthony Joshua ambaye ni raia wa England mwenye
asili ya Nigeria atapambana na Kubra mwenye umri wa miaka 36, kuelekea
pambano hilo naomba nikuletee rekodi za mabondia wote wawili.Kubra Pulev Anthony Joshua Umri: 27 Mapambano: 19 Ushindi KO : 19 Droo: 0 Kupoteza: 0 Round 55 Urefu: Futi 6 na inch 6 Kubra Pulev Umri: 36 Mapambano: 26 Ushindi : 25 KO: 13 Droo: 0 Kupoteza: 1 Round: 174 Urefu: Futi 6 na inch 4.5
SHARE








No comments:
Post a Comment