Mkurugenzi wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi
Leseni ya Usajili wa machapisho mwakilishi wa Jarida la PLUS 255
MAGAZINE Bw. Francis Maduhu mara baada ya kukamilisha taratibu za
usajili leo Jijini Dar es Salaam. Zoezi la utoaji wa Leseni kwa
machapisho linafuatia utekelezaji wa kifungu namba 5(e) cha Sheria ya
Huduma za Habari ya mwaka 2016. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi
anayeshughulikia Usajili Bw. Patrick Kipangula.
Mwakilishi wa Jarida la PLUS 255
MAGAZINE Bw. Francis Maduhu akionyesha Leseni ya machapisho
aliyokabidhiwa kwa ajili ya Jarida lake leo Jijini Dar es Salaam. Zoezi
la utoaji wa Leseni za machapisho linafuatia utekelezaji wa kifungu
namba 5(e) cha Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimpongeza
mwakilishi wa Jarida la PLUS 255 MAGAZINE Bw. Francis Maduhu baada ya
kumkabidhi Leseni ya Usajili wa machapisho kufuatia kukamilisha taratibu
za usajili leo Jijini Dar es Salaam. Zoezi la utoaji wa Leseni za
machapisho linafuatia utekelezaji wa kifungu namba 5(e) cha Sheria ya
Huduma za Habari ya mwaka 2016. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi
anayeshughulikia Usajili Bw. Patrick Kipangula.
Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO
SHARE
No comments:
Post a Comment