Ujumbe wa Wabunge wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiongozwa na Mhe. Augustino Manyanda
Masele (wa pili kulia waliokaa) wakati wa ufunguzi wa Semina ya Wabunge
iliyofanyika jana katika Jiji la Fuzhou nchini China. Ujumbe huo uko
nchini China kwa wiki mbili kwenye ziara ya mafunzo yaliyoandaliwa na
Wizara ya Biashara ya nchi hiyo.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
SHARE
No comments:
Post a Comment