
Mtaalamu
wa Masuala ya Haki za Watoto kutoka nchini Thailand anayefanya kazi na
Taasisi ya Save The Children nchini, Yui Mutomol akitoa Elimu kwa
Waandishi wa Habari waandamizi na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya
Habari wakati wa semina juu ya haki za Mtoto iliyoandaliwa na Taisisi ya Save The Children iliyofanyika Desemba 6, 2017 Jijini Dar es Salaam.
Mwanaharakati
wa Haki za Watoto nchini na Mkurugenzi wa Taasisi ya Msichana
Initiative , Rebeca Gyumi akizungumza na Wahariri na Waandishi
waandamizi wa Vyombo mbalimbali vya Habari haki za Mtoto na vita dhidi
ya Ndoa za Utotoni zinazoendelea nchini
Mtaalamu
wa kupigania Haki za Watoto kutoka Taasisi ya Save The Children, Neema
Bwaira akizungumza na Wahariri na Waandishi Waandamizi wa Vyombo
Mbalimbali vya Habari hapa nchini wakati wa Semina juu ya haki za Mtoto
Jijini Dar es Salaam
Sehemu
ya Waandishi Waandamizi na Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari
wakisikiliza kwa Makini wakati wa semina juu ya haki za Mtoto
iliyoandaliwa na Taisisi ya Save The Children Jijini Dar es Salaam
(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON)
SHARE
No comments:
Post a Comment