Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikata utepe kuzindua mabweni mawili ya Magufuli na Majaliwa katika
Shule ya Sekondari ya Bumagi wilayani Butiama Januari 20, 2018. Watatu
kulia ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiaagana na viongozi wa mkoa wa Mara kwenye uwanja wa ndege wa Musoma
baada ya kukamilisha ziara ya siku saba mkoani humo Januari 21, 2017.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Butiama, Nimrod Mkono (katikati) na mkewe
Marylouise Januari 202018,kabla ya kumkabidhi mbunge huyo cheti cha
shukurani kilichotolewa na wilaya ya Butiama ili kuthami mchango wake
mkubwa wa kujenga na kuchangia maendeleo ya elimu wilayani humo.
Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye Chuo Kikuu cha Julius Kambarage
Nyerere ambacho kilichojengwa na mbunge huyo kikiwa ni sekondari na
kutokana na ubora wake kilibadilishwa kuwa Chuo Kikuu. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimkabidhi Mbuge wa Butiama, Nimrod Mkono cheti cha shukurani
kilichotolewa na wilaya ya Butiama ili kuthami mchango wake mkubwa wa
kujenga na kuchangia maendeleo ya elimu wilayani humo. Makabidhiano hayo
yalifanyika kwenye Chuo Kikuu cha Julius Kambarage Nyerere
kilichojengwa na mbunge huyo kikiwa na sekonda na kutokana na ubora
wake kilibadilishwa kuwa Chuo Kikuu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiteta na Mbunge wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhungo katika
mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye kijiji cha Muragi Januari 21,
2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Wananchi wa Kijiji cha Muragi
wilayani Musoma Vijijini wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
wakati alipohutubia mkutano wa hadhara katika kijiji hicho Januari
21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na watumishi na viongozi wa mkoa wa Mara katika kikao cha
majumuisho ya ziara yake ya siku saba mkoani humo kwenye ukumbi wa Ofisi
ya Mkoa wa Mara mjini Msoma Januari 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na watumishi na viongozi wa mkoa wa Mara katika kikao cha
majumuisho ya ziara yake ya siku saba mkoani humo kwenye ukumbi wa Ofisi
ya Mkoa wa Mara mjini Msoma Januari 21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiaagana na viongozi wa mkoa wa Mara kwenye uwanja wa ndege wa Musoma
baada ya kukamilisha ziara ya siku saba mkoani humo Januari 21, 2017.
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.(Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kwenye uwanja wa
ndege wa Mwanza alikopitia akitoka Musoma kwenda Dar es salaam Januari
21, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment