Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha
Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimmkabidhi nyenzo za kazi Mhe. Dotto
Mashaka Biteko baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Madini katika
hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakimsikiliza
Mhe. Dotto Mashaka Biteko akila kiapo cha Uadilifu cha Viongozi wa Umma
baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakimsikiliza
Mhe. Dotto Mashaka Biteko akiongea machache baada ya kuapishwa kuwa
Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar
es salaam leo Januari 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine wakimsikiliza
Mhe. Dotto Mashaka Biteko akila kiapo cha Uadilifu cha Viongozi wa Umma
baada ya kuapishwa kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kumuapisha Mhe.
Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mhe. Dotto Mashaka
Biteko baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla
fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo. Kulia ni Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi John Kijazi Januari 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mhe. Dotto Mashaka Biteko
baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi
baada ya kumuapisha Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa
Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Januari 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mmoja wa wajumbe
wa kamati ya Nishati na Madini waliohudhuria kwenye hafla ya kuapishwa
Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 8, 2018
PICHA NA IKULU
SHARE
No comments:
Post a Comment