
Mwenyekiti wa Umoja wa Vikundi vya
Hiyari Zanzibar (ANGOZA) Bi. Asha Aboud Mzee akielezea lengo la mradi
wa kukuza ushiriki wa wananchi katika masuala ya sera na sheria hafla
hiyo imefanyika Ofisi ya Umoja wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Mjini
Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji wa ANGOZA
Hassan Khamis Juma akitoa maelezo kuhusu Mradi wa kukuza ushiriki wa
wananchi katika masuala ya sera na sheria wakati wa kutambulishwa rasmi
mradi huo

Baadhi ya washiriki wa mkutano wa
Utambulisho wa Mradi wa kukuza ushiriki wa wananchi katika masuala ya
sera na sheria wakifuatilia utambulisho huo katika Ofisi ya walemavu
Kikwajuni.

Mjumbe wa mkutano wa utambulisho
wa mradi huo kutoka Tume ya Mipango ya Wizara Ramadhani Khamis akitoa
mchango wake kwenye mkutano huo.
Picha na Makame Mshenga.
SHARE
No comments:
Post a Comment