TRA

TRA

Tuesday, January 19, 2016

TBL yaendesha mafunzo ya usalama barabarani

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Kampuni ya TBL Group imeandaa mafunzo yanayohusiana na usalama barabarani na utumiaji vinywaji vyenye kilevi kwa ustarabu kwa wakaguzi wa magari kutoka Jeshi la Polisi nchini yameanza jijini Dar es Salaam wiki iliyopita na  yataendelea kufanyika katika  mikoa ya  Mwanza,  Mbeya na Arusha.

Mafunzo hayo ni mwendelezo wa Kampuni ya TBL Group kuunga mkono jitihada za serikali katika kupambana na ajali za barabarani nchini na utekelezaji wa moja ya malengo ya kampuni mama ya  Sab Miller ambalo linahimiza kuwa na jamii ya watumiaji vinywaji  kistaarabu.

AkiongeajuuyamafunzohayaMenejaMafunzonaMaendeleoyaWafanyakaziwa  TBLGroup,Gaspar Tesha amesema kuwa kampuni imelenga kutoa mafunzo hayakwamaofisawapolisiwanaoshughulikanamasualayaukaguziwamagarikutokananakaziyaondiowanakutananamaderevawenginchininakuwaelimishaumuhimuwamatumiziyavinywajivyenyekilevikistaarabuikiwemo pia uzingatiajiwakanunizausalamabarabarani.

“Tukiwakampuniinayoshughulikanauzalishajiwavinywajivyenyekilevinijukumuletu pia kuelimishamakundimbalimbaliyajamiikuhusianana sera yetuinayohimizautumiajiwavinywajivyenyekilevikistaarabuilikupunguzaatharizinazotokananauleviwakupindukiakwenyejamii”.

Alisemakuwakampuniitaendelezajitihadazakuelimishajamiimatumizisahihiyavinywajinakuungamkonojitihadazaserikalikatika vita yakupunguzamatukioyaajalinchiniambayoyamekuwayakisababishavifovyawatuwenginawenginekubakiawakiwanaulemavunamchangowaokatika ujenzi wa Taifa kupungua.

Katikamafunzohayawashirikiwamepatafursayakutembeleamitamboyaviwandavyakutengenezavinywajivilivyopochiniya TBL Group nakuangaliajinsikampuniinavyozingatiakanunimbalimbalizausalamakatikamaeneoyakazinanjeyamaeneoyakazinajinsikampuniinavyojalikutunzamagariyakekuhakikishayakosalamakwakutosababishaajalikwawatumiajiwenginewabarabara.

Kwa upande wake MkufunziwamafunzohayokutokaJeshi la PolisinchiniMrakibuMsaidizi AbelSwai, amesema kuwa mafunzo haya yana umuhimu mkubwa katika jitihada za kupunguza ajali za barabarani na alipongeza Kampuniya TBL Group kwakuwamstariwambelekatikakupambananaajalizabarabaranikupitiakampeniya “Don’t Drink and Drive”Kampuniimekuwaikishirikiananawadauwenginekufanikisha Wiki yaNendakwaUsalamabarabaraniinayofanyikakilamwakanchiniambapoimekuwaikiendesha pia zoezi la kupimaafyazamaderevasehemumbalimbalinchininakuwapatiamafunzoyakuwaelimishajuuyamadharayatokanayonauendeshajiwavyombovya moto ukiwaumelewa.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger