Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli akimjulia hali Mufti Mkuu wa Tanzania
Sheikh Abubakar Zubeiry aliyelazwa kwa matibabu katika taasisi ya Moyo
ya Jakaya Kikwete katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Pamoja naye ni Waziri wa Afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Watoto na Wazee Mhe Ummy Mwalimu,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Masaju pamoja na Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Profesa Mohamed Janabi leo Jumatatu February 8, 2016
No comments:
Post a Comment