Mwenyekiti
wa Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro,(KRFA) Godluck Mosha akizungumza
wakati wa kuwaaga mabingwa wa soka mkoa wa Kilimanjaro, timu ya
Kitayosce wanaojiandaa kuelekea mkoani Singida kushiriki ligi ya
Mabingwa wa mikoa katika kituo hicho.
Baadhi
ya wachezaji timu ya Kitayosce wakiwa katika uwanja wa Meimoria ambako
waliagwa na uongozi wa Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro (KRFA)
Katibu wa Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro (KRFA) Mohamed Mussa akizungumza wakati wa kuiaga timu ya Kitaysce.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Kitayosce.
Mjumbe wa kamati ya kuisadia timu ya Kitayosce,Dalabu Maulid Dalabu akizungumza katika hafla hiyo fupi.
Mwenyekiti
wa Chama cha soka Manispaa ya Moshi (MMFA) Japhet Mpande akitoa nasaha
zake kwa wacheaji wa timu ya Kitayosce wakati wa kuiaga timu hiyo.
Kocha
wa timu ya Kitayosce,Hamad Haule akielezea matarajio yao katika ligi ya
mabingwa ambapo timu yake imepangwa kituo cha Singida.
Nahodha wa timu ya soka ya Kitaysce ,Chimko Vidic akieleza namna walivyojiandaa na ligi hiyo.
Mwenyekiti
wa Chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro (KRFA) Godluck Mosha akimkabidhi
Mweka hazina wa timu ya Kitaysce ,Festus nauli kwa ajili ya safari ya
kuelekea Singida ,KRFA imetoa nauli ya kwenda Sindida na kurudi.
Mwenyekiti wa Chama cha soka Mkoa wa Kilimanjaro,(KRFA) Godluck Mosha akikabidhi mpira kwa ajili ya timu ya Kitayosce.
Mwenyekiti
Mosha akikabidhi kiasi cha Sh Laki moja kwa nahodha wa timu ya
Kitayosce kwa ajili ya kunua viatu kwa baadhi ya wachezaji wa timu hiyo.
Wachezaji wa Kitayosce wakiagana na Viongozi wa KRFA katika uwanja wa Meimorial.
SHARE






















No comments:
Post a Comment