TRA

TRA

Sunday, June 26, 2016

MAZISHI YA BABA YAKE POLEPOLE YAFANYIKA JIJINI DAR

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 



Picha ya Marehemu Hezron Polepole Kinyangidzi

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Warioba na Mkewe, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Engineer Nyamuhanga, Katibu wa CCM Ilala pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Tarime Ndugu Glorious Luoga wakati ya Ibada ya kumuombea marehemu Baba mzazi wa Humphrey Polepole katika kanisa la KKKT usharika wa Segerea.

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Warioba akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Humphrey Polepole kwenye msiba wa Mzee.

Jaji Warioba na Mkwewe wakitoa heshima ya mwisho

Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim akiweka udongo kaburini

Mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Humphrey Polepole akiweka udongo kwenye kaburi la Baba yake Mzee hezron Polepole.

Waziri Mkuu Mstaafu na aliyekuwa Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Mzee Joseph Sinde Wariobaakiweka udongo kwenye kaburi la Baba yake Humphrey Polepole.

Humphrey Polepole akiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba yake mzazi aliyezikwa tarehe 26Juni 2016 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam.


Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Humprey Polepole akizungumza wakati wa ibada maalum ya kumuombea Marehemu Hezron Polepole Kinyangidzi katika kanisa la KKKT Ushirika wa Segerea.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger