Wadau
kutoka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) pamoja na Wakala wa
Majengo Tanzania (TBA) wakimsikiliza mtoa mada kwa njia ya video (Tele
Conference) wakati wa Mafunzo ya Siku Tano yaliyolengwa kwa ajili ya
Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhusiana na masuala mbalimbali
yanayaohusu majengo 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.
Meneja
Mafunzo toka Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) Bw. Dickson
Mwanyika akiwashukuru wadau waliohudhuria mafunzo hayo wakati wa
ufungaji jan 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.
Mdau
kutoka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Mhandisi Mtapuli Juma
akichangia mada kuhusiana na mafunzo ya siku tano waliyopatiwa na Wakala
wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) wakati wa ufungaji wa mafunzo
hayo 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Bw. Elius Mwakalinga akitoa
neno la sukurani kwa mtoa mada (hayupo pichani) mara baada ya kumalizika
kwa mafunzo ya siku tano yaliyoaratibiwa na Wakala wa Mafunzo kwa Njia
ya Mtandao (TaGLA) 3 Juni, 2016 jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Washiriki wa Mafunzo ya siku tano kwa njia ya mtandao akipokea cheti
chake toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya
Mtandao (TaGLA) Bw. Charles Senkondo (katikati) pamoja na Ofisa Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Bw. Elius Mwakalinga (kushoto) mara
baada ya kumalizika kwa mafunzo hayo yaliyoaratibiwa na Ofisi ya Wakala
wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA) 3 Juni, 2016 jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), Bw. Charles
Senkondo akiwashukuru wateja wake mara baada ya kumalizika kwa mafunzo
ya siku tano yaliyoaratibiwa na Ofisi yake 3 Juni, 2016 jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Wakala wa Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), Bw. Charles
Senkondo (katikati) pamoja na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo
(TBA), Bw. Elius Mwakalinga (kulia).
(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA-MAELEZO)
SHARE








No comments:
Post a Comment