Wachezaji wa timu ya Real Madrid
wakishangilia na kombe lao mara baada ya timu yao kufanikiwa kuchukua
ubingwa wa UEFA Champions League wakati walipoifunga timu ya Italia ya
Juventus usiku baada ya kushinda magoli 4-1 katika
mchezo uliochezwa kwenye mji wa Cardiff Wales nchini Uingereza.
Mchezaji Christian Ronaldo
akiwaongoza wenzake kushangilia mara baada ya kuifungia timu yake ya
Real Madrid magoli mawili katika mchezo huo mkali.
Christiano Ronaldo akishangilia
na mchezaji mwenzake Sergia Ramos mara baada ya kushinda mchezo wao na
Juventus ya Italia na kufanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-1 mjini
Cardiff Uingereza.
SHARE
No comments:
Post a Comment