
Mkuu
wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Emanuel Mjema wakati
akifungua mkutano wa wadau mbalimbali wa kujadili program mpya mbili za
masomo katika ngazi ya Shahada ya Uzamili katika Biashara ya
Kimataifa na Ugavi, Usimamizi mfumo wa uzalishaji na usambazaji,
zinazotarajiwa kuanza kutolewa na chuo hicho.
Mmoja wa washiriki wa Mkutano huo akichangia wakati wa Mkutano huo.
Wadau
mbalimbali wakifuatilia kwa makini majadiliano kuhusu program mpya
mbili za masomo katika ngazi ya Shahada ya Uzamili katika Biashara ya
Kimataifa na Ugavi, Usimamizi wa mfumo wa uzalishaji na usambazaji,
zinazotarajiwa kuanza kutolewa na CBE.
Mkuu
wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Emanuel Mjema akiwa katika
picha ya pamoja na wadau mbalimbali waliohudhuria katika chuo hicho
kujadili program mpya mbili za masomo katika ngazi ya Shahada ya Uzamili
katika Biashara ya Kimataifa na Ugavi, Usimamizi mfumo wa uzalishaji
na usambazaji, zinazotarajiwa kuanza kutolewa na chuo hicho.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment