Mgeni
rasmi Dr.Guido Nicolai akifungua hotuba maalumu kuhusu Harambee ya
kuchangia hospital ya Mwananyamala nchini Tanzania.Kikundi cha Upendo
Womens Group kilichopo nchini Ubelgiji jana tarehe 11.06.2016 walifanya
Arambee hiyo kuwasaidia kina mama wanaojifungua katika mazingira magumu
nchini Tanzania
Kiongozi
mkuu wa kikundi cha kina mama wa Upendo Group Mh; Theresia Greca, muda
mfupi kabla ya ufunguzi wa shughuli za uchangishaji wa fedha ili
kusaidia kina mama wanaojifungua katika mazingiza magumu katika hospital
ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam
Viongozi na wananchama wa Upendo Women's Group wakipata picha ya pamoja
Mweka
hazina wa kikundi cha Upendo women's Group Begum Chunny akitoa maelewo
mafupi jinsi alivyoenda Tanzania kukagua maendeleo yao yanayopatkana
katika kuchangia hospital ya Mwananyamala,kulia ni Mwenyekiti wa kikundi
hicho Mrs Theresia Greca.
No comments:
Post a Comment