Uchumi wa China ulikua kwa asilimia
6.9 kati ya mwezi Aprili na Juni kwa mujibu wa takwimu rasmi ambayo ni
asillimia ya ju kuliko ilivyotarajiwa.
Wachanganuzi wengi walitarajia uchumi wa china kupunguza mwendo wa ukuaji wake. Lakini takwimu za hivi punde ziko juu kuliko matarajio ya ukuaji wa asilimia 6.5.
- China yazindua manowari mpya ya kijeshi
- China: Marekani itatue mgogoro wake na Korea Kaskazini
- China yaongeza bajeti yake ya jeshi
Wadadisi wanatabiri kuwa sheria ngumu za ukopeshaji haziwezi kuathiri uwekezaji kama wengi walivyotarajia.
Uchumi wa China ulikua kwa asilimia
6.9 kati ya mwezi Aprili na Juni kwa mujibu wa takwimu rasmi ambayo ni
asillimia ya ju kuliko ilivyotarajiwa.
Wachanganuzi wengi walitarajia uchumi wa china kupunguza mwendo wa ukuaji wake. Lakini takwimu za hivi punde ziko juu kuliko matarajio ya ukuaji wa asilimia 6.5.
- China yazindua manowari mpya ya kijeshi
- China: Marekani itatue mgogoro wake na Korea Kaskazini
- China yaongeza bajeti yake ya jeshi
Wadadisi wanatabiri kuwa sheria ngumu za ukopeshaji haziwezi kuathiri uwekezaji kama wengi walivyotarajia.a
SHARE
No comments:
Post a Comment