Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake katika swala ya Idd El Hajj
iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke Dar es Salaam leo
asubuhi.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akijumuika na waumini wengine wa kiislam katika
swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga,
Temeke Dar es Salaam leo asubuhi.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na waumini wengine wa kiislam wakisikiliza
maswaidha wakati wa swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya
Mwembe Yanga, Temeke Dar es Salaam leo asubuhi.
Sheikh Abdu Kadri akiongoza swala ya Idd El Hajj
Sheikh Nurudin Kishki akihutubia baada ya swala hiyo.
Waumini wa dini ya kiislam wakishiriki swala hiyo.
Waumini wa dini ya kiislam wakiswali.
SHARE
No comments:
Post a Comment