Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira
mjini Moshi,Prof Faustine Bee (kushoto) akimuongoza Waziri wa Maji na
Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge kuelekea katika chanz cha
Mkashilingi kilichopo wilyani Hai kwa ajili ya uzinduzi, kulia kwa
Waziri ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini
Moshi (MUWSA).Joyce Msiru. Waziri
wa Maji na Uwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akizungumza wakati wa
uzinduzi wa chanzo cha maji cha Mkashilingi kilichopo wilayani Hai
mkoani Kilimanjaro.Baadhi
ya wananchi waliohudhuria uzinduzi huo wakimsilikiliza Waziri wa Maji
na Umwagiliaji (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa chanzo cha
Mkashilingi. Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiki akizungumza katika uzinduzi huo. Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce
Msiru akimueleza jambo Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson
Lwenge mara baada ya kujionea chanzo cha maji cha Mkashilingi. Waziri
wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwasili atika chanzo
kingine cha Kaloleni kwa ajili ya uzinduzi rasmi ,kulia kwake ni
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi
(MUWSA) Joyce Msiru. Chanzo cha Maji cha Kaloleni. Chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya maji. Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Joyce
Msiru akisoma taarifa ya mradi wa ujenzi wa chanzo cha maji cha
Kaloleni. Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge
akizindua mradi wa maji wa Kaloleni. Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Mhandisi Gerson Lwenge akiotesha mti katika chanzo cha maji cha Kaloleni mjini Moshi. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiki akiotesha mti katika chanzo cha maji cha Kaloleni. Mwenyekiti
wa Bodiya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira
mjini Moshi (MUWSA) Prof Faustine Bee akiotesha mti katika chanzo hicho.Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa MAzingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce
Msiru akiotesha mti katika chanzo cha maji cha Kaloleni.Mkuu
wa wilaya ya Moshi ,Kippi Warioba akiotesha mti katika chanzo cha maji
cha Kaloleni. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment