TRA

TRA

Sunday, November 6, 2016

UFUNGUZI WA JENGO LA MADARASA YA SKULI YA MAANDALIZI JUNGUNI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


01
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi Ujenzi wa madarasa mapya  ya Maandalizi  katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma. [Picha na Ikulu.] 06/11/2016.
02
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo
03
Baadhi ya wanafunzi wa Maandalizi wakiwa na Walimu wao katika sherehe ya Uzinduzi wa madarasa mapya yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf,ambapo  yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo,
04
Wananchi wa Shehia za Gando wakiwa katika sherehe ya Uzinduzi wa madarasa mapya yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf yaliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Skuli ya Gando Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo.
05
Wasoma Utenzi Raya Rashid (kulia) na Fatma Hassan Mshindo wakitoa burudani  ya utenzi wao mbele ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa kusherehekea    Uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
06
Wananchi waliohudhuria  katika sherehe za uzinduzi wa madarasa mapya ya Maandalizi yaliyojengwa na Wananchi kwa msaada wa Tassaf katika Skuli ya Gando,Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakifuatilia na kusikiliza nasaha mbali mbali zilizotolewa katika sherehe hiyo,
07
Wanafunzi wa Maandalizi wakiimba wimbo maalum wa kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein mara baada ya kuyazindua madarasa yao katika Skuli ya Gando Wilaya yaWete Mkoa wa Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya Maendeleo Kisiwani Pemba.(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger