Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,
akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC),
Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga,
alipomtembelea kujadili masuala mbalimbali yaliyohusiana na utekelezaji
wa ilani ya Uchaguzi Mkuu uliopita. Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini
kwa Naibu Waziri, jijini Dar es Salaam.Katikati ni msaidizi wa Katibu
huyo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Siasa na Mahusiano ya
Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga,akizungumza na Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa
mazungumzo mbalimbali yaliyohusiana na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi
Mkuu uliopita.Mazungumzi hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu
Waziri,jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni,
akifafanua jambo kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi
(NEC), Siasa na mahusiano ya Kimataifa,Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga,
alipomtembelea kujadili masuala mbalimbali yaliyohusiana na utekelezaji
wa ilani ya Uchaguzi Mkuu uliopita.Mazungumzi hayo yamefanyika ofisini
kwa Naibu Waziri,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi
SHARE
No comments:
Post a Comment