Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akielezwa
jambo na Meneja wa Kituo cha Kufua umeme kwa kutumia mafuta mazito (HFO)
cha Megawati 60 cha Nyakato Jijini Mwanza, Mhandisi Mathew Mwangomba
(kushoto). Kulia ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO,
Mhandisi John Mageni.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kulia) akikagua
Kituo cha Kufua umeme kwa kutumia mafuta mazito (HFO) cha Megawati 60
cha Nyakato Jijini Mwanza. Kushoto ni Meneja wa kituo hicho, Mhandisi
Mathew Mwangomba.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akielekeza
jambo wakati wa ziara ya kukagua mitambo ya kuzalisha umeme ya Nyakato
Jijini Mwanza. Kulia ni Meneja wa Mitambo, Mhandisi Mathew Mwangomba.
Moja
ya mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta mazito (HFO) kwenye
Kituo cha kufua umeme cha Nyakato jijini Mwanza. Kituo hicho kina jumla
ya mitambo 10 yenye uwezo wa kuzalisha kiasi cha Megawati 60 huku kila
mtambo ukiwa na uwezo wa kuzalisha kiasi cha Megawati sita.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akikagua
moja ya mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta mazito kwenye kituo
cha Nyakato jijini Mwanza
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)
akimsikiliza Meneja wa Mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta
mazito (HFO) ya Nyakato Jijini Mwanza, Mhandisi Mathew Mwangomba
alipofanya ziara ya kukagua mitambo hiyo ili kujionea utendaji wake.
SHARE
No comments:
Post a Comment