Katibu
Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda,
Akihojiwa na Watangazaji mahiri wa TBC Taifa, Paul Alphonce na Anna
Mwasyoke, Mikocheni Jijini Dar es salama, mapema leo asubuhhi, ambapo
mada iliyokuwa mezani ni kuanza kutumika kwa Kituo cha Pamoja cha
Forodha mpaka ni Tunduma/Nakonde (Tanzania na Zambia) pamoja na umuhimu
wake katika uchumi wa Taifa.
Katibu
Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Adolf Mkenda,
Akihojiwa na Watangazaji wa TBC1, Chunga Runza, Mikocheni Jijini Dar es
salama, mapema leo asubuhhi,
ambapo mada iliyokuwa mezani ni kuanza kutumika kwa Kituo cha Pamoja
cha Forodha mpakani Tunduma/Nakonde (Tanzania na Zambia) pamoja na
umuhimu wake
SHARE
No comments:
Post a Comment