Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani wa Guinea Conakry Mhe. Kabine
Komara ambaye sasa ni Balozi wa Taasisi ya Maendeleo ya Bonde la Mto
Senegal, Ikulu jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Waziri Mkuu wa zamani wa Guinea Conakry Mhe. Kabine
Komara ambaye sasa ni Balozi wa Taasisi ya Maendeleo ya Bonde la Mto
Senegal, Ikulu jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa zamani wa Guinea Conakry
Mhe. Kabine Komara ambaye sasa ni Balozi wa Taasisi ya Maendeleo ya
Bonde la Mto Senegal, Ikulu jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
SHARE
No comments:
Post a Comment