Maofisa wa kampuni ya magari ya Tata Motors, wakioneysha magari mapya aina ya
Tata Ultra Truck na Tata Ultra Bus wakati wa uzinduzi rasmi wa magari hayo
jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Magari cha Kampuni ya Tata Africa Holdings (T)
Ltd, Prashant Shukla (wa tatu kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa
toleo jipya la gari la abiria na la mizigo la Tata Ultra jijini Dar es Salaam
jana. Wengine ni baadhi ya maofisa wa kampuni hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya Magari
cha Kampuni ya Tata Africa Holdings (T) Ltd, Prashant Shukla (kushoto),
akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa toleo jipya la gari la abiria na la
mizigo la Tata Ultra jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni baadhi ya maofisa
wa kampuni hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa kampuni ya magari ya Tata Motors, Rudrarup
Maitra (kushoto),
akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa toleo jipya la gari la abiria na la
mizigo la Tata Ultra jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni baadhi ya maofisa
wa kampuni hiyo.
Wasanii wa kikundi cha Mama Afrika wakitoa burudani katika hafla ya uzinduzi wa
magari mapya ya Tata Ultra Truck na Tata Ultra Bus jijini Dar es Salaam jana.
SHARE
No comments:
Post a Comment