Naibu Waziri wa Fedha na MIpango, Dkt. Ashatu Kijaji
Na Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma
Serikali imeahidi kuwa italirejeshea Shirika la Posta Tanzania kiasi cha shilingi bilioni 3.2 ambazo ilizitumia kuwalipa wastaafu wa lililokuwa Shirika la Posta na Simu la Afrika Mashariki ifikapo kufikia 30 Juni mwaka huu itakuwa imelipa kiasi cha Sh. Bil.3.2 zinazodaiwa na Shirika la Posta Tanzania

SHARE

No comments:
Post a Comment